Been so heartbroken for long what happened to AT..I am so happy bado yupo halafu very smart upstairs.Kudos bro.Kenya says hi🇰🇪🇰🇪🇰🇪we salute you and this is now the high time Rudi kwa muziki mashabiki wako tunakuhitaji...Hey girl wanifananisha na nani wataka nikupe kila kitu changu....a very good melodious song. Mahadha umesema sio ama wewe Mwalimu kweli...Kudos bro..
Huyu jamaa nilikua namchukuliaga kama boya tu flani tu hivi kumbe kichwa imesheheni madini hatari nisamehe kaka kuanzia leo ninakuheshim.pongezi pia kwa keundelea kusoma.education is endless process
SHOGA MUSTAR J AMEYAKANYANGA 😂😂😂UNAANZAJE KUONGELEA MUFALME W DUNIA WEWE ,ALAFU MM MUSTER J SIJAWAHII KUMKUBALI ,AM KENYAN N SIJAPENDA KAULI Y MUSTER J
Ninachokiona Kwanza AT anaujua sna mziki na ana madini sana ya kimziki Pili Anapenda waarabu na wasaudia kuliko wazungu, Mdisi master ila upeo na uelekeo wake upo wazi. Udini upo😎
Huyu kenge kipindi chake hata Top ten ngoma 8 za majani moja ya mika mwamba, na moja walikua wanagombania yeye na bon Love au saidi comorien, master ni kenge tu
Inawezekana huyu jamaa alitarajia mpaka kufikia umri wa miaka hamsini awe bilionea kwa bahat mbaya haijawa hivyo kwahiyo stress zinamtesa ila ila imemsaidia kitendo cha kumzungumzia alikiba tayar nae anazungumziwa hivyo katembelea upepo. Hongera AT kwa interview kali na ya hekima
AT saluti Sana kiongozi upo vizuri nakupata kwenye utaalamu wa vocal na kanuni za utoaji voko na sauti kikanuni Kuna kitu kinaitwa kaishum kinapatikana kwenye mapua hii ni katika kanunu ya swauti kupitia kwenye kaishum mwambia mastar j kajichangabya Leo alikiba ndio msanii anaeweza kuimba live kuliko diamond Hilo alijue
Acheni ujinga wenu wakudanganyana We AT mziki huwezi kwa sasa Kwa akili yako unaweza Kaa na Bien?? Masta Jay kaongea ukweli ila ni ufikishaji wa ujumbe
Huns lolote MR J ni producer sio mwimbaji ila anakuongoza wewe unaongelea ushabiki hata history ya music hujui mnapoongelea mziki mtandaoni mjipange hujui
Hakuna mwenye bado ako kwa mziki sio A.T wala master j...ila unaambiwa fikiria sana kabla haujaongea sana..master j hakufaa kuongea chochote ju yeye pia hana chochote
AT UMEONGEA SANA LKN MM NATAMAMI UKOSOE KIDOGO MUSIC WA BONGO ILI WANAMZIKI WENGINE WABADILIKE MAKUOMBA USIBASE KTK MAKOSA YA MUSTER J TU HEBU SEMA KUHUSU MUSIC WA BONGO ILI WASANII WAJIFUNZE WASIBWETEKE PALE WALIPO MAANA UKIFAGILIA INA MAANA WABONGO HAWANA MAPUNGUFU?
Tanzania kuwa ya kwanza kimziki bara la Afrika? Hadi mwandishi amestuka 😂😂😂😂😂😂 Tanzania 🇹🇿 imetowa msani nani mkubwa ndugu yangu? Hacha miyoyusho, congo 🇨🇩 umehihacha wapi? Tangu enzi za zamani pindi Tanzania inatiwa Tanganyika hadi leo haiwezi kufikia live music 🎶 kuzidi congo 🇨🇩 hata kidogo, naona kwenye interview zako umehanza kuweka vionjo ndugu. Kwa Tanzania kuwa ya kwanza kimziki barani Afrika na kutowa msani mkubwa barani Afrika hapo umewapiga ndugu zako kwa kuwasimu kwa uongo😂😂😂😂😂
Kaka wewe ni atari sana watoto wa 2000 hawakujui achia ngoma kaka hiyo alone ni fire 🔥
Ukijua kupiga ujue kujikinga.
Mwl mzuri anafundisha anashauri ,tuwatie moyo wenye uthubutu ,sio kubeza na kutusi. Uzalendo upo wapi.Big up Tz musicians
Safi sana A.T unaongea kikubwa na sio ushabiki master j kashindwa kutunza heshima yake
Wasio jua Music wataku suport ila sisi Kizazi cha 80 hatukuelewi unazunguumzia nini kuhusu music
A T ww mziki unajuwa sana uyo bwege mastar upinde bwege tu
Hahaahahahahahahah jaman AT kaka upo vzr nmekuelewa sana kwenye hiii interview bigup sana
Uyu AT he always speaks sense. Very intelligent 👌. He's great and very smart
Been so heartbroken for long what happened to AT..I am so happy bado yupo halafu very smart upstairs.Kudos bro.Kenya says hi🇰🇪🇰🇪🇰🇪we salute you and this is now the high time Rudi kwa muziki mashabiki wako tunakuhitaji...Hey girl wanifananisha na nani wataka nikupe kila kitu changu....a very good melodious song.
Mahadha umesema sio ama wewe Mwalimu kweli...Kudos bro..
Hiyo ngoma kali sana AT iyachie kaka
Huyu jamaa nilikua namchukuliaga kama boya tu flani tu hivi kumbe kichwa imesheheni madini hatari nisamehe kaka kuanzia leo ninakuheshim.pongezi pia kwa keundelea kusoma.education is endless process
Master jay hajui kitu me naomba nitajiwe hit moja aliyo fanya master au aliyo husika kivyovyote vile iliyisha africa au dunian kama alivyotaka
Umeongea point sanaaa kaka A.T
SHOGA MUSTAR J AMEYAKANYANGA 😂😂😂UNAANZAJE KUONGELEA MUFALME W DUNIA WEWE ,ALAFU MM MUSTER J SIJAWAHII KUMKUBALI ,AM KENYAN N SIJAPENDA KAULI Y MUSTER J
Napenda sana mtu anapoongea kitu anachokijua aisee uko vzr kaka
Hii marks media inakuja na habari 🔥🔥🔥 sana nowdays
Daaaah umemtaja Umm Kulthum? Umegusa pazito sana AT.
Huyu At Ananimalizia Bando Langu. Yaani Siwezi Pitwa Nikiona Akihojiwa🙌
Master J unahitajika hukuuuu,,na P funk Majan kakublock usije muulza aina ya mziki ulioimbwa na Dully Sykes pamoja na Kiba 🤣🤣🤣🫵🫵
Umetisha kaka 😂😂😂😂 hata mimi nikitaka kulala lazima nisikilize nyimbo za Shania Twain ma celena Dion
Safi Sana umetisha sana
Ivi master J, alisikiliza vizuri wimbo wa "utu na utulivu" labda atabadili maneno 😫
Ninachokiona
Kwanza AT anaujua sna mziki na ana madini sana ya kimziki
Pili Anapenda waarabu na wasaudia kuliko wazungu,
Mdisi master ila upeo na uelekeo wake upo wazi.
Udini upo😎
Bien mwenyewe anamkubali sana ali kiba sehemu kubwa sana
Kabisa kaka umeongea
Wahindi wa Dar wakisikia hivyo alivyo sema Master J watajisikia vibaya sana..
Ni arrogant.
😅😅😅😅😅😅😅😅wahindi tena
😂😂😂wahindi@@JulistaHillary
Kua na adabu basi hata kama kuna kosa mkubwa kwako yule na kafanya mengi
Masta j ni Kuma tuu kwa muziki Wa kizazi cha leo
Huyu kenge kipindi chake hata Top ten ngoma 8 za majani moja ya mika mwamba, na moja walikua wanagombania yeye na bon Love au saidi comorien, master ni kenge tu
😅😅😅😂😂😂😂
Unaweza ukawa bora na usiwe mshindi.
Msamehe inshaallah mollah akufanyie wepesi amin
Kwani AT Hilo nalo ni jambo la kulikomalia kiasi hicho challenge lazima ziwepo bwana acheni hizo
Big up.. Bro
AT umetisha bro.
Nice hiyo nyimbo mwana n kali sana mawimbi makali sana mwana ...
Shwaaaaaaaaa umetisha🎉
A t we kwely mwana mziki
Asante kaka kwa elim ktk mzik
Afrika eti hata nigeria🇳🇬 ghana, tuwazidi mziki umekula bangi
Inawezekana huyu jamaa alitarajia mpaka kufikia umri wa miaka hamsini awe bilionea kwa bahat mbaya haijawa hivyo kwahiyo stress zinamtesa ila ila imemsaidia kitendo cha kumzungumzia alikiba tayar nae anazungumziwa hivyo katembelea upepo.
Hongera AT kwa interview kali na ya hekima
Umetoa elimu kaka halafu unajua
Master J ameshikwa pabaya yamemtokea puani nafikiri hatorudia tena upumbavu alio uongelea juu ya ali kiba amechamba moto kaungua ........!
Yani nimependa mpaka nimependa tena 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ahsante AT kwa kumpa habari
Mmmh ngoma kali sanaaaaa 🎉
AT saluti Sana kiongozi upo vizuri nakupata kwenye utaalamu wa vocal na kanuni za utoaji voko na sauti kikanuni Kuna kitu kinaitwa kaishum kinapatikana kwenye mapua hii ni katika kanunu ya swauti kupitia kwenye kaishum mwambia mastar j kajichangabya Leo alikiba ndio msanii anaeweza kuimba live kuliko diamond Hilo alijue
Uyo master mavii mbn hasumbui kabisa kwanza jina namzid ad mimi kuma la mamake😂😂😂😂😂😂
Kaka upo sahihi wanaosema umepitwa na wakati hao niwatoto 2000 bro
Mpumbavu masta j
MASTER JAY ni Mashine nyingine ... Muda mwingine wasanii mkubali kukosolewa
Kaka unajua sana mambo ya Muziki
Upo sawa
Kaka umege vitu vya ukweli na viko safi🎉🎉
12:38 🎉🎉🎉
vizur xana At wew ni mwana mziki unajua mziki
Ungeongelea haya makopo yenu ya Bongo flavour ila sio Real Music
Wapemba akili zao ubishani tu . sasa Nigeria na Afrika Kusini ni NJE YA AFRIKA ?
AT was the best lakini J acheni aitwe J ,majani na J ndo Leo tunatamba na bongo flavour hii ya Leo
❤❤❤❤ nikweli kabissa
AT big brain
Huyu jamaa maneno mengi Ila swala la sanaa labda ya uchekeshaji😂
AT nakujua tangu zamani na nilikukubali hiyo Ngoma alone achia urudi kwenye game... Your very smart bro
WAcha uongo katika Historiaya Africa hakuna mziki uliopasua Anga kama mziki wa Congo unaongea Bange au?????
Naibu waziri mwenyewe anafahamu king ni nani
Uyu ni Master au Mistress
Uyu jamaaa nae anajitia tia hamba kitu
Acheni ujinga wenu wakudanganyana
We AT mziki huwezi kwa sasa
Kwa akili yako unaweza Kaa na Bien??
Masta Jay kaongea ukweli ila ni ufikishaji wa ujumbe
We kichaa
Kaimbe wewe sasa kama AT hajui ndo upindo nyie
Kweli yeye sio vocalist ujasir anaupata wapi wakukosoa
Mwenyewe uli fail
Msameheni jamani master j
Imani iliyopo Jina Hilo linatumika ndio nyie wabana pua ukitaka kumtetea alikiba Sawa Ila niwabana pua tu don't panic brooooox😂😂
Facts sana
Hio ngoma kali sana itoe🎉🎉🎉🎉
Master mume zoeye Kiki maraba hiyakotoka puwani baba mara unapiga bagi mara umekuwa shoga nabado 😂😂😂😂😂
Uyu ndiye alie imba nipigie
Ni yeye
Kubalin...ukwel ili mzidi kua Bora tz....maana wengi wenu hamkusoma wala kusomea musik....
saw
Leta bato za hao watu
Mziki ni kipaji mziki WA darasani ni POROJO tuu izo blood ndio maana matajili weng hawajaajiliwa ongea fact kusoma ndio Nini
Unacho kiongea unakijuwa kweli😅😅😅
Kwahy master jay ameusomea mziki acha kuwa upinde
AT 🔥🔥🔥🔥
Nakubaliana na wewe bro
Wabana pua nyamazeni huo ni u kweli mbona mlishindwa kuimba
Huns lolote MR J ni producer sio mwimbaji ila anakuongoza wewe unaongelea ushabiki hata history ya music hujui mnapoongelea mziki mtandaoni mjipange hujui
Hakuna msanii aliekuwa akiimba live kama Bibi kidude na Bibi kidude alihojiwa msanii anaemkubali alimtaja huyu At, UPINDE wewe tuliaa 😂😂
kwamala ya pili nasema at ni fundi nikweli wew kama utaki ni wew sasa ila kwangu mimi 🎉🎉🎉
Dah AT shikamoo 🔥🔥🔥
Waimbie gomba la AT mr m wanimaliza
Chuki ya wabongo iko obvious,Bien outshining their A list musicians especially kwenye platform kubwa ya Trace imewachoma Sana
Hakuna mwenye bado ako kwa mziki sio A.T wala master j...ila unaambiwa fikiria sana kabla haujaongea sana..master j hakufaa kuongea chochote ju yeye pia hana chochote
Alipo somaulikuwepo
Uyu AT kaweuka ati Ati hizi njia za kizungu mi naskia haloo haloo nyingi tu😂😂😂
If you mess with King u mess with his peoples Ally waambie wapumbavu hao wasimzingue Ally Kiba
AT UMEONGEA SANA LKN MM NATAMAMI UKOSOE KIDOGO MUSIC WA BONGO ILI WANAMZIKI WENGINE WABADILIKE MAKUOMBA USIBASE KTK MAKOSA YA MUSTER J TU HEBU SEMA KUHUSU MUSIC WA BONGO
ILI WASANII WAJIFUNZE WASIBWETEKE PALE WALIPO MAANA UKIFAGILIA INA MAANA WABONGO HAWANA MAPUNGUFU?
👍👍👍
AT nawewe uko bize kudadavua maswala ya wenzako wakati Mziki wako unateketea 😅😅😂
Uko saw broo
Halafu wwe mtangazaji wahovyo sana kudakia sasa mmmh ujambo nakisikia kisautu sehemu yakuchombeza unapoteza mdah 😂😂😂
Sawa sawa at
Salut AT 🎉
AT anajua sana
Good boy,ana knowledge huyu. Watanzania mnatakiwa kama huyu.
Uko sawa kaka
Tanzania kuwa ya kwanza kimziki bara la Afrika? Hadi mwandishi amestuka 😂😂😂😂😂😂 Tanzania 🇹🇿 imetowa msani nani mkubwa ndugu yangu? Hacha miyoyusho, congo 🇨🇩 umehihacha wapi? Tangu enzi za zamani pindi Tanzania inatiwa Tanganyika hadi leo haiwezi kufikia live music 🎶 kuzidi congo 🇨🇩 hata kidogo, naona kwenye interview zako umehanza kuweka vionjo ndugu. Kwa Tanzania kuwa ya kwanza kimziki barani Afrika na kutowa msani mkubwa barani Afrika hapo umewapiga ndugu zako kwa kuwasimu kwa uongo😂😂😂😂😂
At mbona sikujuaga upo hivi ni moto
Mziki umemshinda ameamua kuwa chawa
A.T 🙌🙌🙌🙌
Nakubali kijan
Ungeenda ukaimba tukakuona mzee wa tarab
Ila Master J pando alilolipanda kwa Harmonize kalivuna kwa Kiba. Anashushua wenzake km mwanamke
Wahindi achana nao,si wanawake so wanaume,huku shrea ghoshal au Alka yagnik kule Sonu Nigam na Kumar sanu